Da Gladiator
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 1,641
- 2,646
- Thread starter
-
- #41
Tuwashukur wana Yanga.Huyu Morrison hakabiki na ukitumia nguvu kidogo tu utasababisha penati
Ila BM3 anaujua.Huyo ndo Boko bana Mnyama 1
Si ndio huyu huyu wakati yupo Yanga aliambiwa hana namba Simba?Ila BM3 anaujua.
Ila Kwa mkapa kuna mapengo.Si ndio huyu huyu wakati yupo Yanga aliambiwa hana namba Simba?
Je mapengo uliyoanzishia uzi muda ule na mapengo yaliyopo sasa yanalingana? Muda ndio kipimo kizuri sana wa mambo.Ila Kwa mkapa kuna mapengo.
Ngoja tusubiri, Ila tunashukur Wana Yanga kwa Morrison.Je mapengo uliyoanzishia uzi muda ule na mapengo yaliyopo sasa yanalingana? Muda ndio kipimo kizuri sana wa mambo.
kampa Chama bonge la V kashindwa yeyeIla BM3 anaujua.
Chama kampa Kipa sifa.kampa Chama bonge la V kashindwa yeye
Ha ha ha, relaxkocha toa Mzamiru ingiza Ndemla