Yaliyojiri Ngao ya Jamii; Simba yaigonga Namungo 2-0 uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha

Yaliyojiri Ngao ya Jamii; Simba yaigonga Namungo 2-0 uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha

Je mapengo uliyoanzishia uzi muda ule na mapengo yaliyopo sasa yanalingana? Muda ndio kipimo kizuri sana wa mambo.
Ngoja tusubiri, Ila tunashukur Wana Yanga kwa Morrison.
 
naona morrisoni analengo lakuwaumiza nyoyo wanayanga, sipati siku tukikutana nao.
 
Back
Top Bottom