Yaliyojiri Ngao ya Jamii; Simba yaigonga Namungo 2-0 uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha

Yaliyojiri Ngao ya Jamii; Simba yaigonga Namungo 2-0 uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha

Da Gladiator

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2020
Posts
1,641
Reaction score
2,646
Leo Ijumapili 30, Aug 2020. Kutakuwa na mtanange murua wa Ngao ya Jamii 'Community Shield'. Simba Sc v Namungo, Arusha Shekh Amri Abeid Stadium. 1530Hrs.

Natabiri kikosi changu. 1. Aishi Manura. 2. Shomari Kapombe. 3. Muhammed Hussein, Zimbwe Jr. 4. Paschal Wawa, Sultan 5. Joash Onyango. 6. Gerson Fraga Vieira Dos Santos'. 7. Luis Mickson, Mmakonde. 8. Jonas Gerald Mkude, Nungunungu. 9.John Bocco,Adebayor. 10. Clotus Chota Chama,CCC 11. Bernard Morrison, BM3.

 
Leo Ijumapili 30, Aug 2020. Kutakuwa na mtanange murua wa Ngao ya Jamii 'Community Shield'. Simba Sc v Namungo, Arusha Shekh Amri Abeid Stadium. 1530Hrs.
Natabiri kikosi changu. 1. Aishi Manura. 2. Shomari Kapombe. 3. Muhammed Hussein, Zimbwe Jr. 4. Paschal Wawa, Sultan 5. Joash Onyango. 6. Gerson Fraga Vieira Dos Santos'. 7. Luis Mickson, Mmakonde. 8. Jonas Gerald Mkude, Nungunungu. 9.John Bocco,Adebayor. 10. Clotus Chota Chama,CCC 11. Bernard Morrison, BM3.View attachment 1552902View attachment 1552920
mkuu fraga hayupo bila shaka
 
Ila website ya Simba inatuangusha inachelewa sana kutoa taarifa muhimu kama kikosi kinachoanza wakati mpira unachezwa saa tisa jioni
 
Na huu ndio ule muda wa simba kula, yanga ni ma pimbi sana na kamwe hawawezi uza na si sura.
Shiiiiiii Wale ni vyura.....wenye hasira../
Watakuletea msala../
Ngumi hawakuwezi kukushtaki wataona bora../
 
Hali iko hivi Arusha.
IMG-20200830-WA0003.jpg
IMG-20200830-WA0002.jpg
 
Back
Top Bottom