Yaliyojiri: Simba Vs Mbeya City Uwanja wa Taifa VPL 4/3/2017

Yaliyojiri: Simba Vs Mbeya City Uwanja wa Taifa VPL 4/3/2017

Hii ndio Simba iliyomfunga Yanga ?

sembo mbona uwezo wenu mdogo sana
Ndo hii hii Mkuu.. Hawa Mbeya City wana bahati sana.. Ila ole wake anaeenda kukutana na mnyama katika gemu ijayo.
 
Ndo hii hii Mkuu.. Hawa Mbeya City wana bahati sana.. Ila ole wake anaeenda kukutana na mnyama katika gemu ijayo.
Nimeangalia mpira leo,au yule mganga aliyewasaidia mechi na Yanga hamkulipa leo
 
Watanzania kwa kuamini uchawi! Simba leo iliwakosa mabeki wakuaminiwa, kotei ilikuwepo kuziba tu nafasi.Hivyo si sahihi kudhani kuwa simba iliyopoteza muunganiko kwenye kiungo ilipaswa tu ishinde.Japo Mavugo kakosa goli za wazi sana. Mhimu wakubali kuwa leo wamepoteza na wajipange maana hawa vyura leo wameanza kukoroma.
 
Nimeangalia mpira leo,au yule mganga aliyewasaidia mechi na Yanga hamkulipa leo
Hakuna cha mganga wala nini Simba kiwango chini...waliwafunga Yanga kwa sababu wachezaji Yanga wana mgomo wa chinichini .....Simba mnaenda Bukoba kupigwa katerero
 
Mechi za kagera na mwanza kwa kiwango cha leo sijui labda wakijitahid pointi nne watapata. Simba ilio cheza na yanga sio ya leo. Na mbeya city walicheza vizuri na walistahili kushinda. Mavugo bado anazembea mno hassa umaliziaji yupo dhaifu sana. Yanga akiishinda Azam na Mtibwa basi atakuwa bingwa tu. Simba bado hata mechi na African lyon sijui. Na Simba akikosa ubingwa mwaka huu uongozi UONDOKE maana ubingwa sio kuifunga yanga - kwa mechi ya leo simba washukuru sana walikuwa wanaachia pointi tatu. Wakichukua ubingwa simba itakuwa ajabu sana. Na hassa itachangiwa Yanga ateleze kwa ukata au migogoro. La sivyo Yanga nafasi ni yake.
 
Back
Top Bottom