NimemueleweshaSasa wewe mwenye akili kichwani si unamwelewesha mkuu? Mbona mambo marahisi sana
Ngoja tusaidiane ni a simple language na mfano, let's say kuna kura halali za urais 20,na katika kura hizi mgombea A kapata 12 ya kura halali zilizopigwa na mgombea B kapata kura 7 na mgombea C kapata kura 1,jumla ya kura zote itakua 12+7+1=20(hizi ni total ya kura halali zilizopigwa za urahisi na ndio 100%,ya kura zote),to be a winner ni LAZIMA uwe na kura 10(50% ya total vote(20)plus 1 vote yaani uwe na kura 11,sasa kwa katiba ya Kenya ya sasa ni lazima mshindi apate 50%ya kura zote halali (majority)plus 1,kuna hatari ya kufanya re run ya hawa top two.Tanzania unaweza kuwa president hata kama umepata 29%,ya total votes as far wengine wana below that!yaani A ana 10%,B ana 7%na C awe na 3%,ya total veto,huyu aliyepata 10%ya kura anaapishwa kuwa presidentSijui kama nimekuelewa vizuri ila maana yake ni kuwa mshindi lazima apate 50% na na tofauti ya 1% au zaidi kwa anayemkaribia nivyo ninajua na ndivyo ilivyo
Full Combat mkuu, kiwashwe iwe mvua iwe jua, niko hapa Mwanaume.Mkuu umejiandaaje na huu mtanange unataka kuuanzisha?
Huyu aliyetufanya watanzania kuwa mazuzu, siku ya kupata address yake ni kumpelekea coal tu na gas, binafsi sio zuzu kabisaCCM wanawacheki tu afu wanacheeeeeka sana huku wakisema sio kila kitu Ni Cha kuiga.
Unaemuelewesha ni mjinga wa mwishoSimple logic mshindi apate 50% + 1 vote otherwise hakuna haja ya kuandika 50% +1% wangesema mshindi apate 51% (50%+1%)
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Unakaza kichwa kiboya sana. Mshindi anatakiwa kupata 50% + Kura Moja ya ziada. Usichoelewa nini????Sijui kama nimekuelewa vizuri ila maana yake ni kuwa mshindi lazima apate 50% na na tofauti ya 1% au zaidi kwa anayemkaribia nivyo ninajua na ndivyo ilivyo
Nyerere.Huyu aliyetufanya watanzania kuwa mazuzu, siku ya kupata address yake ni kumpelekea coal tu na gas, binafsi sio zuzu kabisa
Nashangaa Magonjwa Mtambuka anacheka. Sasa najiuliza sijui ni Nini kimechekesha kwenye hii comment Yako.Hawa si wana katiba mpya na tume huru ya uchaguzi!? Wanabinyaje tena huru wa kupata habari!?
Upo sahihi kabisa. Suala dogo kama hili unajiuliza mtu anashindwaje kulijua maana ni akili tu ya kawaida Wala haihitaji PhDUnakaza kichwa kiboya sana. Mshindi anatakiwa kupata 50% + Kura Moja ya ziada. Usichoelewa nini????
Mf. Kura ziko 150000
Mmoja amepata 75001
Mmoja amepata 74999
Hapo maana yake wa juu amepata 50% ya kura zote ambayo ni 75000 kisha amepata nyongeza ya kura moja juu hiyo 1.
Sijui darasani watu mlikuwa mnafanya nini.
Umesikia Kuna chombo cha habari kimeendelea kujumlisha matokeo?Usieneze uongo
Bwana we! Bwana we! Tumedandia mtumbwi wa vibwengo π Wacha tukae roho juu.Washabiki tunatumia kuliko wachezaji
πππππ Aisee nimecheka! Kwanini tuchelewe wakati nia tunayo, nguvu tunazo, na sababu tunazo?Nashangaa kweli sikuu ya tatu bado matokeo. Hawa uchaguzu ujao tunawaazima tume ya uchaguzi Tanzania-chukua weka waaa.
Loh kweli hawa ni hackersHackers washafanya yao, hizi ni update za ReutersView attachment 2321823
FAKE NEWS!There is a huge problem because UDA allegedly hijacked Nation servers transmitting results and installed an algorithm to increase Ruto's votes on screen by 100,000 per 500,000 votes.
Then, using their contacts at IEBC, they hacked the server and uploaded bogus forms whose content do no correspond to polling station results on form 34A.
Consequently, IEBC has decided that only verified results at the Constituency level will be announced by the electoral body as valid. So far, Chebukati has announced two Constituencies.
What this means is that there will be no official results until next week. The UDA activities also explain why the counting of votes on the screen has been stopped.
Some forms which have been downloaded by media houses and tabulated on screen are fake because they were uploaded by UDA after UDA deleted valid forms transmitted from tallying centres.
After they uploaded fake forms at IEBC, Itumbi made a video and announced that Ruto will win with 7 million plus votes.
IEBC says that it has to verify all results before announcing them. Verification is being done together with Party agents and other stake holders.
More updates to follow::
Forwarded as received
Acha wehu atwoli anamiliki citizen ya wapi? Uropokaji mwingine uwe na staha japo.Ww umemjua odinga mwaka huu? Tena kati ya mtu ambae hana pressure ni yeye, kapita vigingi vizito yeye na atwol mmiliki wa citizen walifungwa na daniel arap moi kipindi flani, yee hawezi pata stress na vitu Kama hivyo