Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Ruto jambazi fisadi pro west kila kitu kenya inaenda kuwa down down down for this so guy called hustler kumbe jambazi naya Kenyatta mlevi hajui kinaendelea ujinga ujinga kweli ujinga
Kiukweli alishinda ila tatizo ni wanaogopa kumpa nchi maana hata hawezi kujisimamia mwenyewe anapelekwa pelekwa ila ruto anajipeleka anajiamini raila hajiamini nimeona maxi tokea mwanzo hadi mwisho ila mmh kupitwa ni imagination tricks .
Ila ndio siasa nampenda RUTO pole RAILA ukapumzike umechoka kuingizwa chaka kila matokeo ya uraisi
 
Ruto jambazi fisadi pro west kila kitu kenya inaenda kuwa down down down for this so guy called hustler kumbe jambazi naya Kenyatta mlevi hajui kinaendelea ujinga ujinga kweli ujinga
Usimuite mshindi jambazi muite jasiri,mwenye msimamo na mwenye uwakika ruto na uhuru ni wajanja sana
Raila wewe umeishi kwingi na umeona mengi ulidhani marafiki wakatengane saa ya chakula .
Uhuru ni kitu kimoja na Ruto ni team moja walikuwa wanakuchezesha tu michezo yao nawewe ukabelieve.
Sai unalia kama mtoto aliyechukuliwa pipi kijiti yake.
Pole Raila kwa kuwa mwepesi wa kukubali adui yako eti ni rafiki yakk never.
 
Back
Top Bottom