Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Ramani ikiwa inaonesha kuwa rangi ya Njano Ruto huku Blue ni Ruto. Hii ni siku za mwanzo kabla ya matokeo rasmi kutanganzwa. Chama cha Ruto kimejizolea kura nyingi maeneo yenye wakaazi wengi huku chama cha Raila kutwaa maeneo makubwa (rangi ya blue) ambayo kieneo ni makubwa lakini ukubwa huo haulingani na idadi ya wapiga kura.

1660657177731.png
 
TOKA MAKTABA:

ELIMU YA URAIA KWA WANA AFRIKA MASHARIKI, UGAWAJI MAJIMBO YA UBUNGE / ENEOBUNGE NA SIRI YA USHINDI


MAKAMU MWENYEKITI WA CHADEMA AANGAZIA MIPAKA YA MAJIMBO YA MAENEOBUNGE YA TANZANIA, AGUNDUA HAITENDI HAKI KWA MAENEO YENYE WATU WENGI

TUNDU LISSU - IDADI YA MAENEOBUNGE TANZANIA IWIANE NA IDADI YA WATU WANAOWAWAKILISHA

1660658130710.png




Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Mh. Tundu Antipas Lissu akiangalia mgawanyo wa majimbo yenye watu wengi zaidi anagundua kuwa haiwakilishi na idadi inayostahili ya wabunge. Wilaya ya Temeke mkoa wa Dar es Salaam Mwanzo

Mfano mkoa wa Dar es Salaam ulitakiwa kuwa na wabunge wasiopungua 25. Lakini una wabunge wachache sana wakati ina idadi kubwa ya wapiga kura .

Mkoa wa Lindi yenye wabunge 9 huku idadi ya wapiga kura ni ndogo sana. Mkoa wa Tabora ina idadi ndogo ya wapiga kura lakini ina wabunge wa kuchaguliwa 12 huku mkoa wa Tanga wenye idadi ndogo pia ya watu ina wabunge 12. Mikoa hii iliyotajwa kama mfano wa uwiano usiolingana baina ya idadi ya wapiga kura na wingi wa wabunge pia ni maeneo yaliyo ngome ya CCM.

Na kwa hiyo mgawanyo wa majimbo umeiba uchaguzi kwa kutumia mifumo ya kikatiba na kitaasisi kwa maana Tume ya Uchaguzi ni ya rais na mwenye mamlaka ya kutengeneza mikoa ni rais na mteuzi wa viongozi wa Tume ya Uchaguzi ni rais pia. Orodha ya Jumla ya majimbo ya uchaguzi kwa kufuata na tovuti ya bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni majimbo 273 : source : Parliament of Tanzania

Huko nchini Kenya Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka ya Majimbo ya Uchaguzi yaani IEBC ndiyo yenye mamlaka ya kutengeneza mipaka ya majimbo ktk Kenya yote inayotumia formula ya idadi ya watu ktk sehemu ndiyo itatoa mwangaza kutakuwepo wabunge wangapi. Sababu ni kuwa nchini Kenya demokrasia inaangazia kuwa wabunge wanawakilisha watu kwa kura na siyo eneo.

Tofauti na Tanzania ambapo ambapo Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC haina nguvu kikatiba kutengeneza majimbo kwa kufuatana na idadi ya wapiga kura.

Mfumo huo wa kuangalia eneo hata kama lina wapiga kura wachache na kuwapatia idadi kubwa ya wabunge huku mikoa kama Dar es Salaam, Mwanza yenye idadi kubwa ya wapiga kura inapewa wabunge wachache sana.

Sababu ni kuwa imeonekana maeneo yenye watu wengi ambao ni wapiga kura huwa wana tabia au mazoea ya kuchagua wapinzani hivyo kwa Tanzania wengi hao wanapewa wabunge wachache ili kudhibiti idadi ya wabunge wa upinzani wanaoweza kuchaguliwa . Parliament of Tanzania

Wawakilishi wa waangalizi wa chaguzi toka ndani na nje wameona mapungufu haya ya kuwa kuna maeneo yana wapiga kura wachache sana lakini ina wabunge wengi, huku kuna maeneo yenye wapiga kura wengi inawakilishwa na wabunge wachache sana na hii Indonesia kukosekana uwiano kati ya idadi ya wabunge na wapiga kura wao.

Source : Forbs Media
Tume ya Uhusiano na Uratibu Rasimu ya Warioba ililenga kuhakikisha ... Warioba alisema idadi ya wabunge isizidi 75, Bunge Maalum likasema..... soma zaidi : source : Hotuba ya Jaji Josefu Warioba kuhusu Rasimu ya Katiba ya Tanzania
 
Willium Samuelo Arap Ruto ila mimi hapa kwenye Arap hapa pananichanganya hapa.
Ni kama bin inavyowekwa kwenye majina ya kiarabu, mfano Osama bin laden, Muhammad bin Salman, inamaanisha "mtoto wa"

Au Ole ilivyp kwenye majina ya kimasai
 
Unaendeleza uhuni wa ruto
Ukisoma statement za Odinga na hao maafisa wanne wa IEBC unaona zote zina quote kitu kimoja, na zote zimeandikwa na mtu mmoja Prof. Makau Mutua, lakini walipojichanganya zaidi maafisa vipenyo wa IEBC ni kwenye suala la kuzidi kwa asilimia eti wanasema total percentage inakuja 100.01% kwa hiyo ukichukua 0.01% ya kura takribani milioni 14 ni sawa sawa na kura 140,000 ambazo wanaona zimeenda ndivyo sivyo, Huu ni upuuzi wa hali ya Juu wameshindwa kujua kuwa 0.01% ya kura takribani milioni 14 ni sawa na kura 1,400. Tofauti hiyo haiwezi ku nullfy matokeo hata mahakamani kwa hesabu zao za kijinga walijua ni kura 140,000, Odinga akubali kushindwa amezungukwa na watu wenye uwezo mdogo kisiasa na kiakili.

RUTO — 50.4898850892213%
RAILA - 48.84905938756044%
WAJACKOYAH - 0.436001423201405%
MWAURE - 0.225054100016837%

TOTAL = 99.999999999999977%
 
Raila sasa anaweza kufa kwa utulivu maana ndoto yake ya kuwa mjaluo wa kwanza kushika kijiti cha kuiongoza Kenya tayari imekufa
 
16 August 2022
KICC
Nairobi, Kenya

RAILA AONGEA NA TAIFA KUHUSU
UCHAGUZI ULIOFANYIKA TAREHE 9 AGOSTI 2022



Raila Odinga mgombea wa urais kupitia tiketi ya AZIMIO LA UMOJA nipo mbele yenu kuongea na taifa pamoja na jumuiya ya kimataifa.

Kumbukumbu za uchaguzi wa urais mwaka 2017 zinaonesha Supreme Court of Kenya iliyafuta matokeo ya urais yaliyotangazwa na IEBC kutokana na tume ya IEBC kushindwa kufuata taratibu zote.

2022 mwenyekiti wa IEBC Wafula Chebukati ameweka mazingira ya kuleta utata ambao unatufanya sisi pia AZIMIO LA UMOJA kuamua kwenda kortini kuhoji uhalali wa matokeo yaliyotangazwa na Bw. Wafula Chebukati.

Bw. Wafula Chebukati mwenyekiti wa IEBC alijinyakulia mandate na kupindua mchakato kujumlisha na wa kutangaza matokeo. Wafula Chebukati jana pamoja na makamishna wachache waliyafanya ni siri kubwa matokeo ya urais bila kuwashirikisha makamishna wote saba wa tume ya uchaguzi na mipaka IEBC.

Hivyo kufanya utokee mtafaruku mkubwa baina ya makamishna saba wa IEBC na kupelekea makamishna wanne kupinga jinsi matokeo hayo yalivyoshindwa kuwa na uwazi na ushirikishwaji wa makamishna wote.

Kutokana na sababu hiyo AZIMIO LA UMOJA tunaamua kutumia haki yetu ya kikatiba na kiraia kuchukua hatua zote za kisheria na kikatiba ili haki kwa wapiga kura wa Kenya ipatikane.

Tunawataka raia wote waKenya kuendelea kuwa watulivu ili ndoto ya waKenya ipatikane.
 
Raila hawezi kuongea hasara moja ya pili anazubaaga tu wala hanaga mpango wowote wasera walanini yeye anasema eeeh kenyaaaaa basi hatoi sera humsikii anataka nini ndio maana hana mbele wala nyuma simuelewagi anatakaje... umewahi ona raila anatoa neno lolote licha umsikie anatakaje??
 
Unajua yeye wakenya wanajua sio muongeaji but ni mtu mwenye mtazamo kutokana na rekodi yake toka huko mbali ni kama lowasa au sikoine hawakuwa waongeaji sana ila charismatic
Raila hawezi kuongea hasara moja ya pili anazubaaga tu wala hanaga mpango wowote wasera walanini yeye anasema eeeh kenyaaaaa basi hatoi sera humsikii anataka nini ndio maana hana mbele wala nyuma simuelewagi anatakaje... umewahi ona raila anatoa neno lolote licha umsikie anatakaje??
 
Unajua yeye wakenya wanajua sio muongeaji but ni mtu mwenye mtazamo kutokana na rekodi yake toka huko mbali ni kama lowasa au sikoine hawakuwa waongeaji sana ila charismatic
Hakunaga lowasa sio huyu raila wala sokoine sokoine ni mtoa point na raila hukaa kimya kusaidiwa kila siku ruto ni muongeaji watu wanampenda raila ila anawaangusha sana
 
Kuongea inaenda na umri pia mkuu Odinga wa 2007 sio huyu lkn hajawahi kuyumba

Ruto ni muhuni he don't deserve to be in highest office ni vile tu siasa za kenya zinaruhusu ushawishi wa mwenye fedha na mwizi
Hili jambo linafka pia tanzania litaathiri nchi
Hakunaga lowasa sio huyu raila wala sokoine sokoine ni mtoa point na raila hukaa kimya kusaidiwa kila siku ruto ni muongeaji watu wanampenda raila ila anawaangusha sana
 
TOKA MAKTABA : Mwaka 2017

KESI YA RAILA ODINGA & WENZAKE VS Independent Electoral and Boundaries Commission & 2 others (2017) eKLR

Raila Amolo Odinga & another v Independent Electoral and Boundaries Commission & 2 others [2017] eKLR
logo.png


REPUBLIC OF KENYA
IN THE SUPREME COURT OF KENYA AT NAIROBI
(Coram: Maraga, CJ & P, Mwilu, DCJ & V-P, Ojwang,
Wanjala, Njoki S. Ndung’u and Lenaola, SCJJ)

ELECTION PETITION NO. 1 OF 2017
- BETWEEN -
1. RAILA AMOLO ODINGA..........................................................................1ST PETITIONER
2. STEPHEN KALONZO MUSYOKA.............................................................2ND PETITIONER
- AND -
1. INDEPENDENT ELECTORAL AND BOUNDARIES COMMISSION....1ST RESPONDENT
2. CHAIRPERSON, INDEPENDENT ELECTORAL
AND BOUNDARIES COMMISSION...........................................................2ND RESPONDENT
3. H.E UHURU MUIGAI KENYATTA.............................................................3RD RESPONDENT
DETERMINATION OF PETITION WITHOUT REASONS
(Pursuant to Rule 23(1) of the Supreme Court (Presidential Election Rules) 2017
[1]
The hearing of this Petition was concluded on Tuesday, 29th August 2017 well after 9.00 p.m. The Judges thereafter retreated to deliberate on the following issues for determination as crafted by the court:
(i) Whether the 2017 Presidential Election was conducted in accordance with the principles laid down in the Constitution and the law relating to elections.
(ii) Whether there were irregularities and illegalities committed in the conduct of the 2017 Presidential Election.
(iii) If there were irregularities and illegalities, what was their impact, if any, on the integrity of the election?
(iv) What consequential orders, declarations and reliefs should this court grant, if any?
[2] Having carefully considered the above issues, the following is the majority decision of the court with two Judges (J.B Ojwang and N. S. Ndung’u SCJJ) dissenting):
i. As to whether the 2017 Presidential Election was conducted in accordance with the principles laid down in the Constitution and the law relating to elections, upon considering inter alia Articles 10, 38, 81 and 86 of the Constitution as well as, Sections 39(1C), 44, 44A and 83 of the Elections Act, the decision of the court is that the 1st Respondent failed, neglected or refused to conduct the Presidential Election in a manner consistent with the dictates of the Constitution and inter alia the Elections Act, Chapter 7 of the Laws of Kenya.
ii. As to whether there were irregularities and illegalities committed in the conduct of the 2017 Presidential Election, the court was satisfied that the 1st Respondent committed irregularities and illegalities inter alia, in the transmission of results, particulars and the substance of which will be given in the detailed and reasoned Judgment of the court. The court however found no evidence of misconduct on the part of the 3rd Respondent.
iii. As to whether the irregularities and illegalities affected the integrity of the election, the court was satisfied that they did and thereby impugning the integrity of the entire Presidential Election.
[3] Consequent upon the above findings, and as to what orders, declarations and reliefs this court should grant, the following are the orders of the court pursuant to Article 140(2) and (3) of the Constitution and Rule 22 of the Supreme Court (Presidential Election) Rules:
i. A declaration is hereby issued that the Presidential Election held on 8th August 2017 was not conducted in accordance with the Constitution and the applicable law rendering the declared result invalid, null and void;
ii. A declaration is hereby issued that the 3rd Respondent was not validly declared as the President elect and that the declaration is invalid, null and void;
iii. An order is hereby issued directing the 1st Respondent to organize and conduct a fresh Presidential Election in strict conformity with the Constitution and the applicable election laws within 60 days of this determination under Article 140(3) of the Constitution.
iv. Regarding costs, each party shall bear its own costs.
[4]
A detailed Judgment containing the reasons for this decision and the dissents will be issued within 21 days of this determination in conformity with Rule 23(1) of the Supreme Court (Presidential Elections) Rules, 2017 as it is otherwise impossible with the limited time the court has, to do so.
[5] It is so ordered.
DATED and DELIVERED at NAIROBI this 1st Day of September, 2017
........................... ........................................
D. K. MARAGA P. M. MWILU
CHIEF JUSTICE & PRESIDENT DEPUTY CHIEF JUSTICE & VICE
OF THE SUPREME COURT PRESIDENT OF THE SUPREME COURT
............................ ..............................
J. B. OJWANG S. C. WANJALA
JUSTICE OF THE SUPREME COURT JUSTICE OF THE SUPREME COURT
............................ .....................

N. S. NDUNG’U I. LENAOLA
JUSTICE OF THE SUPREME COURT JUSTICE OF THE SUPREME COURT
I certify that this is a true copy of the original
REGISTRAR
SUPREME COURT OF KENYA
SUMMARISED DISSENTING OPINION OF OJWANG, SCJ.

[1]
It is not necessary in this summarized Judgment – which is to be followed by a fully detailed and reasoned decision on an occasion already signalled by the Chief Justice and President of the Court – to give the comprehensive facts, submissions and legal principles bearing upon the instant petition.
[2] The important petition, which seeks the annulment of Kenya’s Presidential election results emanating from the General Elections of 8th August, 2017, is focussed on a limited number of contentions: (a) that the said Presidential Election was not conducted in accordance with the relevant principles of the Constitution; (b) that the said Presidential Election was compromised by certain illegalities and irregularities; (c) that, consequently, the said General Election lacked integrity, and ought to be invalidated.
[3] Whereas the substance of the case founded on illegality and irregularity rests on the voting-results electronic transmission process, there is substantial information showing that, by law, the conduct of the election should have been mainly manual, and only partially electronic. Hardly any conclusive evidence has been adduced in this regard, which demonstrates such a manifestation of irregularity as to justify the invalidation of the election results.
[4] As regards the invocation of the Constitution as a basis for annulling the electoral process, only general attributions of impropriety have been made, and furthermore, without adherence to the prescription that the task of interpreting the Constitution with finality, rests with no one but the Courts – in this case, with this Supreme Court.
[5] Much of the evidence which the majority opinion adopts, is largely unascertained, apart from standing in contradiction to substantial, more credible evidence.
[6] In such a marginal state of merits in the case challenging the conduct of elections on 8th August, 2017, it is clear to me beyond peradventure, that there is not an iota of merit in invalidating the clear expression of the Kenyan people’s democratic will, which was recorded on 8th August, 2017.
[7] The procedural law for assuring the integrity of elections is abundantly set out in the Elections Act, 2011 (Act No. 11 of 2011), and in the Electoral Code of Conduct; and the relevant provisions were conscientiously applied by the Independent Electoral and Boundaries Commission, which fully provided for the role of international and local observers, as well as agents, in the conduct of the Presidential Election. The resulting electoral process had all the vital features of merit, as all the observers publicly acknowledge.
[8] To disregard such outstanding features of merit in the just-concluded elections, is to overlook the most basic democratic principles which safeguard the electors’ entitlement to choose their public office-holders.
[9] In summarized form, I hereby record, without equivocation, my dissent from the Judgment given by the numerical majority of the Supreme Court Bench. For my part, I would dismiss in its entirety the petition which came up before us, as it was devoid of requisite supporting evidence, just as it did not rest upon the pillars of the Constitution, the ordinary law, or the pertinent elements inherent in the configuration of a democratic election.
[10] In accordance with the terms of Section 26(2) of the Supreme Court Act, 2011 (Act No. 7 of 2011), I hereby reserve the detailed, reasoned edition of my opinion, to be delivered within the next 21 days.
DATE and DELIVERED at NAIROBI this 1st day of September, 2017.
........................
J.B. OJWANG
JUSTICE OF THE SUPREME COURT
I certify that this is a true copy of the original
REGISTRAR
SUPREME COURT OF KENYA
SUMMARISED DISSENTING OPINION OF NJOKI NDUNGU, SCJ.

[1]
The Court has rendered its Judgement by a majority. I am however, of a different opinion. At the heart of democracy are, the people, whose will constitute the strand of governance that we have chosen as a country. On 8th August, 2017, millions of Kenyans from all walks of life yielded to the call of democracy and queued for many hours to fulfil their duty to our Republic by delegating their sovereign power to their democratically elected representatives. This was an exercise that was hailed by many regional and international observers as largely, free, fair, credible and peaceful. That duty stands sacred and is only to be upset if there is any compelling reason to do so. That reason must affect the outcome of the election.
[2] The election was managed by the 1st Respondent chaired by the 2nd Respondent who were assisted by hundreds of others to execute the mandate of the Commission under Article 88 of the Constitution. At the end of the process, the 2nd Respondent, in accordance with Article 138 (10) of the Constitution, declared the result of the election. Having received more than half of all the votes cast in the election and at least twenty-five percent of the votes cast in each of more than half of the Counties, the 3rdRespondent was declared President-elect.
[3] The case revolved around three fundamental questions:
(i) whether the election was conducted in accordance with the Constitution and the law? (ii) whether there were irregularities and illegalities committed during the conduct of the election and (iii) if there were irregularities and illegalities, what was the integrity of the election? In answer to these three issues, my opinion is that the election was indeed conducted in accordance with the Constitution and the law. In fact, the 1st and 2ndRespondents to my satisfaction demonstrated that they had adhered to the directions given by the Court of Appeal in the case of Independent Electoral and Boundaries Commission vs. Maina Kiai & 5 Others, Civil Appeal No. 105 of 2017 (the Maina Kiai case). The Court of Appeal in this case cautioned, and I agree, that the results declared at the polling station are final. In fact, the polling station is at the heart of any election. It is what happens there that is to be assessed and that is why its outcome is final.
[4] In any election, the ordinary Kenyan voter will ask themselves the following questions?
(1) Was there a problem with registration of voters?
(2) Were voters properly identified at the polling station?
(3) Were voters allowed to cast their ballots peacefully and within good time?
(4) Were the votes cast-counted, declared and verified at the polling station to the satisfaction of all parties?
If the answer to all these questions is in the affirmative, then the election has been conducted properly.
[5] The Petitioners in my view did not present material evidence, to the standard required, to upset the results returned to the National Tallying Centre by the presiding officers in Forms 34A. Those results, counted and agreed upon by Agents at the polling station were not challenged. What was fiercely contested was the mode through which those results were transmitted from the polling station to the National Tallying Centre. The 1st and 2ndRespondents urged that transmission was conducted in line with the directions by the Court of Appeal in the Maina Kiai case. This process yielded the results that were streamed onto the portal and which, were not sufficiently impugned during the trial. The decision of the voter at the primary locale of the election, that is the polling station was unchallenged. How then can a process used to transmit those results for tallying upset the will of the electorate? It was not proved that the voter’s will during the conduct of elections, was so affected by any irregularities cited so as to place this Court or the country in doubt as to what the result of the election was. Challenges which are to be expected during the conduct of any election. However, those challenges which occurred, (and in my opinion, none of which occurred deliberately or in bad faith, and which fell particularly outside the remit of the voter and his/her will) – ought not to supplant the voter’s exercise of their right of suffrage.
[6] In summary, I respectfully disagree with the decision of the majority, and in accordance with Section 26(2) of the Supreme Court Act, 2011, and will issue my full dissenting Judgment within 21 days.
DATED and DELIVERED at NAIROBI this 1st day of September, 2017
.........................
N. S. NDUNGU
JUSTICE OF THE SUPREME COURT
I certify that this is a true copy of the original
REGISTRAR
SUPREME COURT OF KENYA


Source : http://kenyalaw.org/caselaw/cases/view/140478/
 
Yes. The Kenyan general election of 2017 was nullified by supreme Court, but not this time. The discrepancies are almost negligible.
 
Back
Top Bottom