Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Una uhakika kilichokuuzi ni hicho ulichoandika au ukweli wa matokeo ya uchaguzi Kenya?
 

Usituchoshe bana huu uzi wa matokeo ya uchaguzi Kenya

Peleka gazeti lako huko jukwaa la malalamiko
 
Kulingana na T&C za jf hakuna mahali amekosea, hakuna mahali amekutukana..

Wewe unaonekana una chuki binafsi na yeye, inaonekana picha uliyojijengea kwa huyu jamaa ni kwamba "Always Anakupinga", hivyo chochote atakachokujibu kwako wewe ni machukizo makuu.

Mambo mengine una-ignore tuu mkuu kisha maisha yanaendelea.
 
Citizen[emoji116]



Nation[emoji116]

 
Ila kweli moderators , Huyu bwana amekua akichokozwa na amelalamika kila mda why hamchukui hatua, jf ipo kwa KILA member na ni haki ya KILA mmoja kutoa mawazo yake ilihali avunji SHERIA, na ni haki kupangua hoja kwa hoja bila kebehi au matusi,
Sasa Ndugu uyu anachokozwa na kulazimishwa kuanzisha vita na amekua akilalamika ,
Kama vipi waandaliwe pambano Mkapa wazitwange au basi wachokozi wake wapewe onyo
 
Usituchoshe bana huu uzi wa matokeo ya uchaguzi Kenya

Peleka gazeti lako huko jukwaa la malalamiko
Ukiwa Mpumbavu kama ulivyo hutojua ni kwanini nimeleta hapa hilo ( hili ) unaloliita Gazeti ila kwa Akili Kubwa niliyonayo najua ni kwanini nimeandika hapa na labda nikuahidi tu kuwa nitaendelea kuliandika hili Gazeti langu hapa JamiiForums na katika Thread yoyote ile pale ambapo huyu Mpumbavu Mwenzako atanifuatilia.
 
Punguza kujieleza, afu mbona jamaa katumia neno la kawaida?? Level of panicking kwako iko juu mno, unaishi as ifu watu wanakujua unapoishi, unachovaa, nk. Hii mitandao tu, isikutoe kwenye reli, ukaanza kujiona unaonewa as if kuna mtu anakujua hata uone unavunjiwa heshima hapa.

Yaan uchukie jamaa kusema PUMBA?? kumbuka kila mmoja na mtazamo wake, mwingine anaona umeshusha NONDO na mwingine anaona umeshusha UPUPU.

Jifunze kukubali mawazo ya watu na maono tofauti kwa watu wengine, sio wote wataelewa ulichoandika, na si kila kitu unacholea jamaa anakidiss, that's not true at all... Jifunze kupokea negative comments, wewe sio Saint kwamba hukosei, hukosolewi nk.

Ishi maisha yako, diss zipo, hata kwenye maisha halisi, je huko unamshtakia nani????

Acha ujinga.
 
Uchambuzi wako hauna facts, ni dhana na maoni yako ambayo hayana hata backup ya takwimu .

Ukiangalia kwenye ramani ya Kenya Sehemu kubwa ya majimbo ya uchaguzi ipo mikononi mwa Odinga. Hata jiji la Nairobi liko mikononi mwa odinga. Ukifanya population ya majimbo anayaochukua Ruto na population ya majimbo anayochukua Odinga, utakuja na makisio yaliyo karibu zaidi na uhalisia wa kuwa nani atachukua nchi. Ramani ya matokeo ya uchaguzi inaonesha kuwa nchi ya Kenya imegawanyika, upo ukanda wa Ruto na ukanda wa Odinga.

Dhana ya deep state kuiba kura, sio ya kuipa nafasi sana, kiwango cha uwazi kwenye uchaguzi wa Kenya ni kikubwa kuliko hata mataifa mengi yaliyoendelea
 
angalian ntv sasa hivi na imebadilika na kuwa as follows
Raila 5220707 (51.78%) , Ruto 4793944 (47.55%)
angalia ntv live
Cheza na beat boss usikariri hama channel kuangalia anaye aliyembele kwa ku upload kwa haraka zaidi. Sasa hivi tupo Ktn ambapo ruro ana 5.9 while mzee ana 5.7
 
Katika zile ID zake Nne ( 4 ) nilizozisema hii nayo ni moja wapo na ningeshangaa kama usingewashwawashwa nami.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…