Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Hata Mimi naiona round ya Pili. Sijui kama kuna taratibu nyingine.
 
Nchi hii kubwa sana ndomana maendeleo hakuna wezao wakaja na mpango wa majimbo watu wakaja na solution ya ukubwa wa nchi kudhibit maendeleo wanatukanwa

Sijui hukokenya atakuja na lipi tabasamu lake kumbe uadui kwetu
Jamaa ni chui anajivika ngozi ya kondoo
 
Kenyatta ako na hali tete jo babaa the 5th kakata pumzi😅😅
 
Ruto the hustler anapambana na Odinga+Uhuru anaelekea kuwashinda any time.
 
Mkuu

Mnafanya kazi inayofanana na mhusika tena KWA maslahi mapana ya wanaowatuma nyie!!

Yaani wakati wewe ukiipamba nchi yako na kiongozi wako humu jamvini na YEYE hutumwa KWA maksudi kabisa kuku crush ili upuuzwe na wasomaji wa mada zako ZILE za kusifia huko kwenu na yule Raia namba moja wenu yule!!

Jf ni kituo zaidi ya kituo ni uwanja wa kijasusi Sana katika kupamba au Kuwa crush public figures ni eneo la mashindano makali Sana ya kisiasa na ikitokea mtu akashinda battle humu kutokana na team yake kumpamba vema Basi muhusika na yeye anashinda Rasmi kitaifa na MIOYONI MWAO !!

Inawezekana mna kazi kinzani na mhusika Ndio MAANA anakufuatilia Sana!!!

Cha msingi focus na assignments ulizopewa KILA mtu a perform script zake zinazompa ugali huko alipo!

Simple tu ki hivyo!

"Rasimu ya Warioba irudi mezani Sasa iwe KATIBA mpya"!
 
Hao wa Ruto wanajiliwaza kwani imeshakuwa confirmed kuwa hawezi kufikisha tena 50% kwa idadi ya kura zilizobakia
Kiaje wakati yaonekana Ruto ana kura zaidi ya 7mil?
 
Mupenzi unaniangusha sasa. Kenya ngoma ishaisha na KICC kuna ulinzi mkali anasubiriwa hapo Raila saa mbili usiku wa leo?
My love ulipotelea wapi ?Ila my instincts zinaniambia Ruto atashinda ingawa binafsi ningependa Raila ashinde
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…