Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Citizen wameamua kutuliza mzuka ila kwa ujumla kura zilizobakia Ruto hatoboi 20K. Believe me. Hata maandalizi yanayoendelea inaonyesha wazi ni Raila ameandikwa
Baada ya Raila na Atwoli kwenda ndo wakawaambia watulize mzuka eti?!
 
Hapa msema kweli ni Tume ya Uchaguzi chini ya Chebukati peke yake.Huku kwingine tunajifurahisha tu
Unafiri chibukati atangaza matokeo yapi tofauti na haya ya uchaguzi mkuu wa Jana ambayo ndo haya haya yanatangazwa na media?! Chibukati mwenyewe analalamikia media kuwa ziko nyuma sana wao EIBC washapata 98% ya matokeo ila wanasubiri hard copy zifike ili walinganishe yaliyotumwa kwa soft copy na hizo hard copy, na amesisitiza matokeo yanayotangazwa kwenye kituo yatabaki vilevile, na media ndo zinatangaza hayohayo ya vituoni.
 
Wataenda duru ya pili, hamna jinsi, hamna atakayetoboa 50 kwa sasa. Sina mengi naomba kuwasilisha.
It might be so. Ila ikiwa hivyo na kama kampeni zitaruhusiwa, hao wagombea wawili wa mwisho watakuwa LULU kwani huenda wafuasi wao wakatoa deciding votes kwa hiyo Raila na Ruto watawagombea kutaka uungwaji mkono kutoka kwa wafuasi wa hao wagombea wawili wa mwisho (waihiga na Prof Wajackoyah)

Sent from my SM-A325F using JamiiForums mobile app
 
system haishindwi kumpa ushindi wanayemtaka ,jiulize Ruto anaongoza vizuri halafu time inasema ,watu watulie matokeo siyo hayo kwenye tv
Unafikiri ni kusema tu eti?! System yenyewe hawafanyi vitu kijinga namna hiyo, hatua ya kwanza wasingeruhusu uwazi wa namna hii, pia habari ya media kuwa tallying Center zao na kutoa matokeo kabla ya tume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…