Yaliyojiri Uwanja wa Aman: Simba SC Vs Yanga,Kombe la Mapinduzi 10/1/2017

Hayawi hayawi yametimia Simba ya Dar es salaam Leo uwanja wa Amaan Zanzibar wameitafuna Wakimataifa Yanga ya bonde la jangwani bao 4-2.Goli la mkono limeshindikana Leo kwani Refa mhusika hakupangwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…