Yaliyojiri Uwanja wa Aman: Simba SC Vs Yanga,Kombe la Mapinduzi 10/1/2017

Yaliyojiri Uwanja wa Aman: Simba SC Vs Yanga,Kombe la Mapinduzi 10/1/2017

Usikute wanajipanga kukata rufaa kupinga penati na Bukungu kwamba hakuwa na nia njema!! Watakubali tu.
tehetehetehe!!! wakate tu rufaa, tena FIFA. wapunguze nyodo na vibweka. Malapa kwake bafuni na chooni. Sebuleni ni uchafu.
 
Black pan, na wewe ni walewale. Unajifanya si mshabiki wa ndani. Azam hata wachukue kwangu mm si issue, lakini si malapa.
 
Hii Yanga "Afirika" noma kweli..... 😀 Wazanzibari bhana Kwa Misamiati Ya Kiajabuajabu dhidi Ya YeboYebo aka 4G FC....!
 
Back
Top Bottom