Comment zote waliokua wanaipenda stars walikua wanaipenda kimoyo moyo hawana ujasiri wa kusema chochote kabla ya mechi kuanza.
Taifa stars ilivyofungwa 1 ndio kila mtu akadhihirisha kweli moyoni alikua na wasi wasi na taifa stars,wakaiponda,wakamponda kaseja,kila mtu akaongea lake.
Taifa stars imerudisha goli,watu kimya wakaanza vikauli vya kujitia wanaiamini amini,ila mioyoni mwao
hawaiamini mpira ukaendelea Taifa stars ikaongeza cha pili, wanafiki na wasio na wapenda sifa wakaanza nyoooooooo fyoooooo kuipamba stars,oooh mpira mzuri,oooh safi sana kisa tu Taifa stars imeibuka na ushindi,waliojificha wakatokea kuisifu ila mwanzo walijificha kimyaaa kama hawajui kuna mpira.
Katika comment za hii thread mtu pekee ambae hata taifa stars ifungwe bado alisimama na kusema ukweli kuhusu team yake na kuonyesha uzalendo Sio wa kinafiki wala kufata mkumbo ni
Sandiego huyu jamaaa kama nikiambiwe nichague benchi la ufundi siachi kum select huyu
Sandiego, tangu mwanzo hukuyumba we jamaaa hakika wewe ni shabiki halali wa TAIFA STARS.
Una imani na team yako,una jicho positive na team yako,hufati mkumbo wala ku comment kile wengi wanakoment,
Sandiego uko real yes YOUR REAL, hawa wengine mashabiki wa Taifa stars team ikishinda tu ila sio team ipate matokeo mabaya. "i hate them"
Mjifunze kwa mwenzenu
Sandiego na muache ushabiki vitumbua.