Yaliyojiri Uwanja wa Taifa: Taifa Stars 2 - 1 Equatorial Guinea

Piere Liquid yupo baa analewa. Huyu Bongozozo anastahiki kupewa Tuzo ya shabiki bora au apewe Cheo cha Ubalozi kwa kuwa anaitangaza Tanzania hata akiwa nchini kwao.
OK ndio nimemuona Jana huyu bongozozo
 
Piere Liquid yupo baa analewa. Huyu Bongozozo anastahiki kupewa Tuzo ya shabiki bora au apewe Cheo cha Ubalozi kwa kuwa anaitangaza Tanzania hata akiwa nchini kwao.
Alipokuwa kwenye AFCON Misri alivunja meza ya watu kwa sifa za kuinadi Taifa Stars wakati wabunge na mawaziri wanataka kufanya press conference wahusika wakamkazia alipe akakataa Hadi akatetewa na wabunge wanasheria yakaisha. Afu likasema walijua mimi mzungu ntalipa kirahisi mimi Mswahili aswaa. Nilicheeeka.

Bongozozo ana mikasa na hili taifa.
 
Alipokuwa kwenye AFCON misri alivunja meza ya watu kwa sifa za kuinadi taifa star wakati wabunge na mawaziri wanataka kufanya press conference wahusika walimkomalia Hadi akatetewa na wanasheria yakaisha. Bongozozo ana Mikasa na hili taifa.
Hahaha! Nahis bongozozo hana njaa, maana nauli hujilipia.
 
Hakuvunja meza, alipindua Meza kibabe baada ya Msuva na Samata kuwafunga Kenya. Huo ulikuwa ni ukorofi usioumiza.
 
Shabiki namba moja si yule jamaa anafunga kitambaa na watu wake wanaingia wanacheza sana ye anawamwagia mwagia maji na wako na yule bonge wao.
Piere Liquid yupo baa analewa. Huyu Bongozozo anastahiki kupewa Tuzo ya shabiki bora au apewe Cheo cha Ubalozi kwa kuwa anaitangaza Tanzania hata akiwa nchini kwao.
 
Tunacheza vizuri sema hatuko makini kwenye umaliziaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…