Yaliyojiri Uwanja wa Taifa: Taifa Stars 2 - 1 Equatorial Guinea

Ya aina ile ile maana yake ni nini? Watu kadhaa nimekuwa nikiwasikia wakilizungumza hili, lakini nikiwauliza maana huwa hawajibu

Aishi naye mara kadhaa amewahi kufungwa magoli ya mbali. Ingawa mechi waliyocheza na Prison nilimuona akiwa amebadilika kwa kuokoa mpira kama aliopigiwa leo Juma Kaseja.
 
Unawezaje kumwacha golikipa aliyefanya saves nyingi zaidi Afcon ukachukua golikipa ambaye hata kwenye team yake anayochezea inaburuza mkia ?
Kibaya zaidi ni zile kauli za Mgunda.
 
Kila ninapoangalia mechi za tim za tz nakuwa dissapointed

Jitahidi tu uzoee kama sisi wenzako. Ile kauli ya Rais mtaafu Ali Hasaan Mwinyi ya kwamba Tanzania ni kichwa cha mwendawazimu! bado inatutesa mpaka leo ingawa tumejaribu mara kadhaa kuondokana nayo, lakini ndiyo hivyo tena.
 
Pamoja na kwamba Aishi hifungwa magoli ya mbali lakini mengi huwa anafanya saves hasa highballs.
Watu walimpima Kaseja kwenye mechi nyepesi za awali za CHAN, ambazo hazikuwa na wachezaji mahiri wa kulipwa wa timu pinzani za Kenya, Burundi na Sudan. Sasa amekuja AFCON amekutana na professional players
 
Jitahidi tu uzoee kama sisi wenzako. Ile kauli ya Rais mtaafu Ali Hasaan Mwinyi ya kwamba Tanzania ni kichwa cha mwendawazimu! bado inatutesa mpaka leo ingawa tumejaribu mara kadhaa kuondokana nayo, lakini ndiyo hivyo tena.
Right
 
Ni wakati wa ukweli kuwa wazi. Nimesema sana. Ndairagije kuwa kocha Stars ni kituko kikubwa sana. Kwa mafanikio gani?
Wasaidizi ndiyo hao akina Mgunda na Matola. Wawili wote wa nini? Matola angetosha kuwa msaidizi wa kocha wa level kubwa.
Tunapenda vitu vya bei rahisi sana. Acha tuvune stahiki yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…