Uhali gani huko ulipo mkuuMnapigwa tu subirini
KAFANYA NNMsuvaaaaaa
daah!Hamuendi popote nawaambia.Hakuna kufuzu
Dah .[emoji44]Hamuendi popote nawaambia.Hakuna kufuzu
Sio lazimaMechi hii inaisha draw, tena half time full time zote draw,ni lazima
Endelea kufurahiWafungwe tu,nitafurahi
We boya kumbe Mchawi hahahaNgoja tuone. Maana hata ile mechi na Sudan, vijana walitokea nyuma na mwisho wa siku kuondoka na ushindi wa 2 - 1.
Safi sana na hongereniVijana wanacheza mpaka wanapitiliza
Kweli kabisaNasikia tushafunga la pili ni kweli
Msuvaaaaaa
Kashangilia goli !!KAFANYA NN