Yaliyojiri Uwanja wa Taifa: Yanga FC 2 - 1 Mbeya City

Hahahaah we jamaa...!
 
Brayson Raphael kaingia akichukua nafasi ya Zahoro Pazzi.
Mabadiliko wamefanya Mbeya City.
 
Yanga walifanya shambulio la hatari sana kupitia kwa Niyonzima Mwashuiya kaharibu kazi nzuri iliyofanywa na Niyonzima.
Dah
 
Hahahaaaaaaa jingalao yani kila andiko lako huwa nacheka sana [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Pongezi kwa golikipa wa Mbeya City,Yanga wamekosa goli la wazi hapa.
 
Yanga walifanya shambulio la hatari sana kupitia kwa Niyonzima Mwashuiya kaharibu kazi nzuri iliyofanywa na Niyonzima.
Dah
Aisee. ...sikujua kama una kipaji cha utangazaji.
Safi sana. Matokeo niaje hadi sasa?
 
Afadhali
Kesi anatoka nafasi yake inachukuliwa na Emanuel
 
Hahahaaaaaaa jingalao yani kila andiko lako huwa nacheka sana [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hapo mwisho ndio palinifanya niangalie tena ID yake ndio nikakumbuka siasani.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…