Yaliyojiri Uwanja wa Taifa: Yanga FC 2 - 1 Mbeya City

Yaliyojiri Uwanja wa Taifa: Yanga FC 2 - 1 Mbeya City

Amekuja kupima joto humu. Najua yuko Mikia fc. Nimemkaribisha Jangwani kusherehekea ubingwa.
Huu mchezo hauhitaji hasira
Ila mashabiki wa Mezani FC wanatia huruma jamani tuseme ukweli tu.
Maana tukishinda mechi hii na hiyo ya Mbao wanayoitegemea tutawapoteza kabisa hapa jukwaani hahahaaaaa.
 
Mtani sikuwa active kwa muda kidogo. Leo ndio nimeamua kuwaona mabingwa tarajiwa.[emoji12] [emoji12]
Penda usipende Yanga ndio bingwa wako [emoji4]
Visingizio vya maeneo korofi vimeisha hahahaaaaaa.

Vipi mkuu mchakato wa rufaa huko FIFA unaendeleaje?
 
Mpira ni mapumxiko.
Yanga watulie. Pengo la Msuva linaonekana.
 
Ila mashabiki wa Mezani FC wanatia huruma jamani tuseme ukweli tu.
Maana tukishinda mechi hii na hiyo ya Mbao wanayoitegemea tutawapoteza kabisa hapa jukwaani hahahaaaaa.
Wengi wao kwa sasa nyuzi kama hizi hupita kimya kimya au husoma kama guests. hahahaha. Walifurika baada ya kagera kupokwa pointi 3 na baada ya kurudishwa kwa kagera tena. Baada ya hapo wamepoteana sana. Wanaochangia humu ni wale waliokomaa kimpira, kama katavi.
 
Kipindi cha pili kimeanza kwa Mbeya City kuanza mpira kwa kasi....
 
Wengi wao kwa sasa nyuzi kama hizi hupita kimya kimya au husoma kama guests. hahahaha. Walifurika baada ya kagera kupokwa pointi 3 na baada ya kurudishwa kwa kagera tena. Baada ya hapo wamepoteana sana. Wanaochangia humu ni wale waliokomaa kimpira, kama katavi.
Katavi mwenyewe alipotea hahahaaaaa.
 
TeamMadrid
Teamchelsea
TeamBrasil
TeamYanga
Chicagobulls
[HASHTAG]#SerenaWilliams[/HASHTAG]
[HASHTAG]#Tigerwoods[/HASHTAG]
[HASHTAG]#Michaelschumecker[/HASHTAG]
[HASHTAG]#Husseinbolt[/HASHTAG]
[HASHTAG]#Anorldschawzniger[/HASHTAG]
[HASHTAG]#Drdre[/HASHTAG]
[HASHTAG]#MohamedAlly[/HASHTAG]
[HASHTAG]#MichaelJordan[/HASHTAG]
[HASHTAG]#Pele[/HASHTAG]
##CCM

Sishangilii legelege mimi...Nashangilia [HASHTAG]#Uhakika[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom