DAFU NA NDIMU
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,497
- 5,090
Acha kupiga ramli mkuu. Sasa ikiwa hivi (yanga 1: mbeya 0) yanga itafungwaje hapo?Ikiwa hivi kipindi cha pili yanga mnaweza kufungwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kupiga ramli mkuu. Sasa ikiwa hivi (yanga 1: mbeya 0) yanga itafungwaje hapo?Ikiwa hivi kipindi cha pili yanga mnaweza kufungwa.
Ila mashabiki wa Mezani FC wanatia huruma jamani tuseme ukweli tu.Amekuja kupima joto humu. Najua yuko Mikia fc. Nimemkaribisha Jangwani kusherehekea ubingwa.
Huu mchezo hauhitaji hasira
Huohuo wanaochezaKwa mpira gani waliocheza hao Mbeya City?
Acha kupiga ramli mkuu. Sasa ikiwa hivi (yanga 1: mbeya 0) yanga itafungwaje hapo?
Penda usipende Yanga ndio bingwa wako [emoji4]Mtani sikuwa active kwa muda kidogo. Leo ndio nimeamua kuwaona mabingwa tarajiwa.[emoji12] [emoji12]
Hahahaah haya bhana tusubiri kipindi cha piliAmekuja kupima joto humu. Najua yuko Mikia fc. Nimemkaribisha Jangwani kusherehekea ubingwa.
Huu mchezo hauhitaji hasira
Wengi wao kwa sasa nyuzi kama hizi hupita kimya kimya au husoma kama guests. hahahaha. Walifurika baada ya kagera kupokwa pointi 3 na baada ya kurudishwa kwa kagera tena. Baada ya hapo wamepoteana sana. Wanaochangia humu ni wale waliokomaa kimpira, kama katavi.Ila mashabiki wa Mezani FC wanatia huruma jamani tuseme ukweli tu.
Maana tukishinda mechi hii na hiyo ya Mbao wanayoitegemea tutawapoteza kabisa hapa jukwaani hahahaaaaa.
Tunarudishiwa pointi zetu za mezani.!Penda usipende Yanga ndio bingwa wako [emoji4]
Visingizio vya maeneo korofi vimeisha hahahaaaaaa.
Vipi mkuu mchakato wa rufaa huko FIFA unaendeleaje?
Acha kupiga ramli mkuu. Sasa ikiwa hivi (yanga 1: mbeya 0) yanga itafungwaje hapo?
Dawa yenu ni kuzidunda mechi zote zilizobakia, hizo point zenu kama mtazipata mtaziweka makumbusho.Tunarudishiwa pointi zetu za mezani.!
Katavi mwenyewe alipotea hahahaaaaa.Wengi wao kwa sasa nyuzi kama hizi hupita kimya kimya au husoma kama guests. hahahaha. Walifurika baada ya kagera kupokwa pointi 3 na baada ya kurudishwa kwa kagera tena. Baada ya hapo wamepoteana sana. Wanaochangia humu ni wale waliokomaa kimpira, kama katavi.
Na ninyi bado mna kibarua kigumu maana mpira huu bado haujamalizikaDawa yenu ni kuzidunda mechi zote zilizobakia, hizo point zenu kama mtazipata mtaziweka makumbusho.
Wamefanya kila fitina, lkn kombe lazima libaki Jangwani for ever.Mwache apige ramli. Atasubiri sana!!!
Leo wachawi wote wapo Mbeya City [emoji23] [emoji23] [emoji23]vyura fc mmeshamnunua kipa wa mbeya city
naona umekuja na kifuu cha nazi!Kipindi cha pili kimeanza sasa