1-1 HahahaaaaaaaNifah matokeo please hah hah
dakika ya 70 ndo muda wa ushindi...tutatupia kama mbili zaidiYanga leo mpira umetukataa kabisa,Mungu asaidie tu.
Naona vijana wameanza kupoteana [emoji24]
Walikuwa wanategeana kuokoa,wajinga sana.Gooooooooo uzembe wa mabeki wa Yanga unafanya MBC wapate goli
Yanga 1-1MBC
1-1 tayariMatokeo tafadhalii
HPanaNa wewe una timu yako mkuu?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kaka hadi nakuonea huruma.
Huku maumivu ya Arsenal,huku Simba dah.
Bora mimi Yanga [emoji39]
Alhamdulillah,nimefurahiiiiiii dah.Yanga 2 mbeya 1.
Asante Mungu.
Kwani ww ni Mikia FC?MBC funga hao kandambili warudi kwao jangwani wakatafunwe na mbu.
Yameongeza goliYanga wafungwe kabisa