Yaliyojiri Uwanja wa Taifa: Yanga FC 2 - 1 Mbeya City

Yaliyojiri Uwanja wa Taifa: Yanga FC 2 - 1 Mbeya City

Lol! Hahahahaha mchepuko wangu RMA angalau unaliwaza. [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
RMA nako kugumu,kesho dhidi ya Servilla ni mechi ngumu sana.
Bado fainali vs Juve,dah. Mwaka mgumu sana kwetu huu.
 
Toka Morogoro mpira umeisha

Mtibwa 4-2 Mwadui
 
Back
Top Bottom