Yaliyojiri Uwanja wa Taifa: Yanga FC 2 - 1 Mbeya City

Yaliyojiri Uwanja wa Taifa: Yanga FC 2 - 1 Mbeya City

Ni kweli hawajatulia kabisa, tukipewa mashambulizi mfululizo mambo yanaweza kuwa mabaya .........
Bossou anakatika sana na hajatulia..Goli la City ulikuwa uzembe wake..Pia hatuna DM..Angekuwepo Makapu pale ingekuwa poa..Kamusoko anapanda sana
 
Back
Top Bottom