AmeeeeeeenLaana iwaangukie wale wote wanaoiombea Yanga Mabaya.!
Niko hapa mkuu,nilikuwa napata maji kidogoWapi nifah...
Nimeacha shughuli zangu nasikiliza mpira hapa.Mojawapo kati ya game ngumu ni hii ya leo,naweza kusema pasi na shaka Tanzania ktk ulimwengu wa soka leo imesimama.
Mungu ibarik Yanga,Amen.
Nitakuwepo hapa kutupia updates,here we go.
Mkuuu leo pressure ipo juu mnooNiko hapa mkuu,nilikuwa napata maji kidogo
Haaa![emoji134]Laana iwaangukie wale wote wanaoiombea Yanga Mabaya.!
Laana iwaangukie wale wote wanaoiombea Yanga Mabaya.!
Ban imeisha mkuu? Karibu sana.Nimeacha shughuli zangu nasikiliza mpira hapa.
Yanga wameanza kwa kasi sana.
Nadhani wanataka wapate magoli asb.