Yaliyojiri Uwanja wa Taifa: Yanga FC 2 - 1 Mbeya City

Yaliyojiri Uwanja wa Taifa: Yanga FC 2 - 1 Mbeya City

Hakuna baya lolote ubingwa upo jangwani. Maandamano FC wasubiri kulandiwa mbao. Maana mbao akiwafunga ndege hawapandi
 
Mojawapo kati ya game ngumu ni hii ya leo,naweza kusema pasi na shaka Tanzania ktk ulimwengu wa soka leo imesimama.

Mungu ibarik Yanga,Amen.
Nitakuwepo hapa kutupia updates,here we go.
Nimeacha shughuli zangu nasikiliza mpira hapa.
Yanga wameanza kwa kasi sana.
Nadhani wanataka wapate magoli asb.
 
Back
Top Bottom