[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Biashara FC a.k.a Mezani football club sijui itakuwaje aiseee,, na mwaka huu wanaishia kunawa!! Jana vilijitahidi sana kununua mechi kwa stand united!!
Daaaa!nimecheka sana!!Hahahaaaaaaa jingalao huku mpirani tu ndipo ulipo na akili [emoji4]
Hahahaaaaaaa ni vyema umerejea sasa tusherehekee ubingwa.Baada ya ban kuisha nilikuwa naingia kwa muda mfupi sana kutokana na majukumu ya hapa na pale, wakati huo huo nikiwa na presha ya vyeti feki teh teh. Nadhani tulikuwa tunapishana
Nifah mie leo staki fwatilia Ila mpira ukiisha nistueMpira wa leo haujachangamka kama ilivyokuwa kwa mechi iliyopita dhidi ya Kagera.
Bila shaka mkuu,ongeza Dua ili tupate ushindi.Askari muoga,Nifah wengine tuko Safarini updates ni muhimu please
Dak 22 Yanga anaongoza 1Askari muoga,Nifah wengine tuko Safarini updates ni muhimu please
Jaluo vipi bwana? Omela nade?Mbeya City tandika hao wamchangani bao 2
Ha ha ha...hata huku naweza kukinukisha...unakumbuka ushangiliaji wetu wana yanga miaka ya 80-90??Hahahaaaaaaa jingalao huku mpirani tu ndipo ulipo na akili [emoji4]
Ubingwa lazima tuwe pamoja mkuu. hawa maandamano fc wataisoma namba sana tu.Hahahaaaaaaa ni vyema umerejea sasa tusherehekee ubingwa.
Mmmhhh!!![emoji125] [emoji125] [emoji125] msije mkapotea kwenye miji ya watu tenaBila shaka mkuu,ongeza Dua ili tupate ushindi.
Safari njema.
Poapoa mkuuNifah mie leo staki fwatilia Ila mpira ukiisha nistue
Wewe wasemaTanzania hakuna mpira. Hivyo mnajipotezea muda kufatilia mipira ambayo imeshachezwa mezani
Miamala FC mmeanza kuhangaika sasa,hao Mbeya City hawaeleweki wanafanya nini uwanjani.Mbeya City hebu nipigie hao wazee wa fitna/wahongaji fc za kutosha kuondoa fujo kitaa..