Yaliyojiri Uwanja wa Taifa: Yanga FC 2 - 1 Mbeya City

Yaliyojiri Uwanja wa Taifa: Yanga FC 2 - 1 Mbeya City

Baada ya ban kuisha nilikuwa naingia kwa muda mfupi sana kutokana na majukumu ya hapa na pale, wakati huo huo nikiwa na presha ya vyeti feki teh teh. Nadhani tulikuwa tunapishana
Hahahaaaaaaa ni vyema umerejea sasa tusherehekee ubingwa.
 
Mbeya City hebu nipigie hao wazee wa fitna/wahongaji fc za kutosha kuondoa fujo kitaa..
 
Mbeya City wanafanya mchezo golini mwao...wana hatari sana.
Mabeki walikuwa wanapasiana mpira kama rede hahahaaaa
 
Tanzania hakuna mpira. Hivyo mnajipotezea muda kufatilia mipira ambayo imeshachezwa mezani
 
Pole watani kwa kumpoteza Msuva dk za mapema.
Mpira ni mchezo wa Uungwana.

Mbeya City msiniangushe.
 
Back
Top Bottom