Mziwandawamama
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 1,303
- 939
Mungu ibariki Tanzania ..Mungu ibariki Young African
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante Idawa ibarikiwe kazi ya mikono yako,Yanga daima mbeleDak 22 Yanga anaongoza 1
Mnanikera hapo tu kuifanya Yanga timu ya lichama lenu [emoji16]Yaani kabla watani hawajaja na kidedea sisi tulikuwa tunashangilia CCM CCM CCM CCM...!!Ulikuwa ukisikiliza kwenye radio na kudikio hiyo kelele ya CCM CCM CCM basi ujue Yanga katupia.
Hahahahaha. Kagera walinitesa kweli yani. Niliamua kuacha kufuatilia matokeo hadi kipindi cha michezo efm
Geresha tu hiyo..Huyu Zahoro Pazzi na mwenzie Nchimbi ni mwiba mchungu kwa beki ya Yanga.
Wanasumbua sumbua kiasi fulani.
Asante Idawa ibarikiwe kazi ya mikono yako,Yanga daima mbeleDak 22 Yanga anaongoza 1
Vijana wako vizuri sana mkuu,wamenikumbusha yule jamaa Mbaraka Yusuph wa Kagera Sugar alivyotunyanyasa.Huyo Pazi na Nchimbi wanavyojituma.
Mungu ibariki Dar Yang African ishinde.
Asante Idawa ibarikiwe kazi ya mikono yako,Yanga daima mbeleDak 22 Yanga anaongoza 1
KWeli mkuu wajifunze kutofautishaMnanikera hapo tu kuifanya Yanga timu ya lichama lenu [emoji16]
Kweli mkuu,anatugharimu sana jamaa.Kess Ni kama mzito kutoa krosi za mwisho.
Pamoja mkuu dak 42 Bado Yanga yupo mbele kwa goli moja.!Asante Idawa ibarikiwe kazi ya mikono yako,Yanga daima mbele
Kross za Kessy sio kama Juma Abdul anapiga za chinichiniKess Ni kama mzito kutoa krosi za mwisho.