Yaliyojiri VPL: Simba SC vs Yanga SC - 20 October 2013

Status
Not open for further replies.

WABHEJASANA

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2011
Posts
4,225
Reaction score
869
Sitaki kuchelewa hata kidogo nimeshaanza safari ya kuelekea Taifa.halafu Jamaa wa JF walikuwa wameficha naona walikuwa na ukarabati, hongera sana Maxence Melo.



UPDATES:

Mapumziko: Yanga 3 - 0 Simba

Dakika 54: Yanga 3 - 1 Simba (Goli la Simba limefungwa na Mwombeki)

Dakika 57: Yanga 3 - 2 Simba (Goli la Pili la Simba kafunga Owino)

Dakika 82:
Yanga 3 - 3 Simba (Goli la Simba limefungwa na Kaze)

Full Time: Yanga 3 - 3 Simba
 
Sitaki kuchelewa hata kidogo nimeshaanza safari ya kuelekea Taifa.halafu Jamaa wa JF walikuwa wameficha naona walikuwa na ukarabati,hongera sana Maxence Mello

...pamoja mkuu...
 
Leo anakufa mtunhaki ya mama yangu mzazi,

...mkuu !!! Sina neno!
Njia nzima ya kuelekea taifa imefurika watu na magari..., ninaona rangi ya njano/kijani, nyekundu/nyeupe..., loh!
 
Afe mnyama afe nasisi huku wa mbeya city tunasema lazma mnyama afe leo tena kifo cha aibu cha ugoni
 
Jmani hakuna stream itakayoonyesha live?kwenye internet,TV je?mimi siendi Taifa naogopa ya westgate
 
2-0 ************************************************************************2-0
 
Leo kweli mtoto hatumwi dukani,
Yanga nipigieni hao watu ili niondokane na ban ya siku tatu niliyoomba.
 
Jmani hakuna stream itakayoonyesha live?kwenye internet,TV je?mimi siendi Taifa naogopa ya westgate

...ni raha ukiwa uwanjani, ukashuhuudia mwenyewe yanayotokea...,
Lakini husijali..., bilashaka AzamTv wakishirikiana na TBC watarusha matangazo ya moja kwa moja kutoka taifa..., kuwa chonjo kuanzia muda wa saa 10 jioni.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…