WABHEJASANA
JF-Expert Member
- Jun 22, 2011
- 4,225
- 869
Sitaki kuchelewa hata kidogo nimeshaanza safari ya kuelekea Taifa.halafu Jamaa wa JF walikuwa wameficha naona walikuwa na ukarabati, hongera sana Maxence Melo.
UPDATES:
Mapumziko: Yanga 3 - 0 Simba
Dakika 54: Yanga 3 - 1 Simba (Goli la Simba limefungwa na Mwombeki)
Dakika 57: Yanga 3 - 2 Simba (Goli la Pili la Simba kafunga Owino)
Dakika 82: Yanga 3 - 3 Simba (Goli la Simba limefungwa na Kaze)
Full Time: Yanga 3 - 3 Simba