Hawa wachezaji shenzi type sana, mawili kipindi cha kwanza si tutafungwa kumi leo.
Nakupata Baba V over!
Tunajinyoosha kidogo afu tunapiga bao la tatu...
Kibadeni atapona kweli wajomba.
Yanga shenzy sana.
Twite anachezewa rafu na Chanongo....
Chanongo anamkoromea muamuzi msaidizi....
Yanga shenzy sana.
Yanga shenzy sana.