Yaliyojiri VPL: Simba SC vs Yanga SC - 20 October 2013

Yaliyojiri VPL: Simba SC vs Yanga SC - 20 October 2013

Status
Not open for further replies.
Yaani tungekuwa tumebandikwa alama za kutambua kwamba huyu ni wa Simba na huyu ni wa Yanga leo tungekoma.
 
Manina sana... sasa naenda kupumzika tukirudi tunapiga MABAO mengine...
 
Simba nauhakika wamepewa rushwa wawapatie yanga magoli.
 
Ong'wise kuna hatari ya mechi zilizobaki tukafungwa zote endapo hii ya leo tutapoteza maana kuna Coastal Union, Azam, Kagera Sugar na Ashanti United ambao nao siku hizi hawataki masihara kabisa.
nani kafunga lya kabhili,nabhitwa gete ong'wise
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom