Yaliyojiri VPL: Simba SC vs Yanga SC - 20 October 2013

Status
Not open for further replies.
Hivi kesho nitaenda ofcn kweli? Yuko wapi Kaseja. Walimtoa kinafiki leo hii sisi hatuwezi hata kujitambulisha. Hofu yangu....tutapigwa 6 au 7. Kipigo cha aibu kwa leo hakikwepeki, tatizo kesho ofcn sasa?
 
Leo mkishindwa kulipa zile tano mtakuwa na matatizo, halafu naona hii ni kama syndicate ya viongozi, makocha hadi wachezaji ili mashabiki na wanachama tuadhirike magoli matatu ndani ya dakika 45 sio kawaida.
Masuke over..over....
 
Last edited by a moderator:
Safu ya ulinzi ya simba badala ya kucheza mpira wapo wanawashangaa wakina ngasa
 
Hivi watu wa Yanga mnamatatizo gani, pamoja na kuongoza bado mnazimia.
shaffihdauda said:
Dk 41 Licha ya Yanga kuongoza kwa mabao 2-0, mashabiki watatu wa Yanga wamezimia na kupewa huduma ya kwanza.

CC: mandieta, Balantanda, Makoye Matale.
 
Last edited by a moderator:
....Kibadeni ana maswali ya kujibu asipotaka amuachie Julio nafasi.
1. Kwanini Amri Kiemba anamuanzisha BENCHI?
2. Henri Joseph alisajiri wa nini kama hana mpango wa kumtumia?
 
Julio alishaongea kwamba simba haiwezi fungwa na yanga hata kwa bahati mbaya,tehe teheeh!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…