Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kesho nitaenda ofcn kweli? Yuko wapi Kaseja. Walimtoa kinafiki leo hii sisi hatuwezi hata kujitambulisha. Hofu yangu....tutapigwa 6 au 7. Kipigo cha aibu kwa leo hakikwepeki, tatizo kesho ofcn sasa?
Hakuna cha pengo la Kaseja wala nini......Pengo la kaseja limeoneka leo. Simba leo haina kipa kuna picha ya kipa. Kaseja uko wapiiiii
Hivi watu wa Yanga mnamatatizo gani, pamoja na kuongoza bado mnazimia.
CC: mandieta, Balantanda, Makoye Matale.
very painful
Tusirudi uwanjani *****. Liwalo na liwe.
Sema haki ya Mungu!Tusirudi uwanjani *****. Liwalo na liwe.
Tutawarudisha hata kwa fimbo dadadeki... mnataka haya mabao yaliyobaki tukapigie wapi..!?
Apakatweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Matatu bana!!! Simba leo analiwa mpaka mkia, YANGA ndio mpango mzima.
mechi tano simba ilifungwa goli nane lakini mechi moja haijaisha wamefungwa gali tatu. hii inamaanisha walikua hawajapata wa kuwasurubu. mia
William L naye ni vyema apewe nafasi badala ya Singano au ShamteSi bora yaishie hayo 6 au 7 maana kwa hali hii si tutafungwa hata 10, kipindi cha pili inabidi aingie Issa Rashid, Amri Kiemba na Zahoro Pazi kwenye nafasi za Haruna Shamte, Humud na Singano.