Yaliyojiri VPL: Simba SC vs Yanga SC - 20 October 2013

Status
Not open for further replies.
Kavubangu na Tegete (akiingia) nao watajipatia ya kwao.....duh 5 zinarudi aisee.
 
Hivi kesho nitaenda ofcn kweli? Yuko wapi Kaseja. Walimtoa kinafiki leo hii sisi hatuwezi hata kujitambulisha. Hofu yangu....tutapigwa 6 au 7. Kipigo cha aibu kwa leo hakikwepeki, tatizo kesho ofcn sasa?

Si bora yaishie hayo 6 au 7 maana kwa hali hii si tutafungwa hata 10, kipindi cha pili inabidi aingie Issa Rashid, Amri Kiemba na Zahoro Pazi kwenye nafasi za Haruna Shamte, Humud na Singano.
 
Pengo la kaseja limeoneka leo. Simba leo haina kipa kuna picha ya kipa. Kaseja uko wapiiiii
Hakuna cha pengo la Kaseja wala nini......

Simba wamefungwa magoli rahisi ambayo ni uzembe wa mabeki....

Goli la 2 na la 3 hata angekuwa Kaseja angefungwa tu......
 
Edo Kumwebe anawalalamikia Ngassa na Niyonzima kwa dharau.....
 
mechi tano simba ilifungwa goli nane lakini mechi moja haijaisha wamefungwa gali tatu. hii inamaanisha walikua hawajapata wa kuwasurubu. mia
 
aibu sana kipindi cha kwanza magoli 3,je cha pili?
 
Half time now simba SC 0 v 3 dar young Africa,, ngasa, kiiza 2
 
mechi tano simba ilifungwa goli nane lakini mechi moja haijaisha wamefungwa gali tatu. hii inamaanisha walikua hawajapata wa kuwasurubu. mia

Mkuu umeflip flop nini, ilikuwa goli tano mechi nane na sio goli nane mechi tano.
 
Si bora yaishie hayo 6 au 7 maana kwa hali hii si tutafungwa hata 10, kipindi cha pili inabidi aingie Issa Rashid, Amri Kiemba na Zahoro Pazi kwenye nafasi za Haruna Shamte, Humud na Singano.
William L naye ni vyema apewe nafasi badala ya Singano au Shamte
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…