Namaanisha kwenye hayo mahafa mimi sihusiki.Haupo?mbona mimi nakuona upo Mkuu?
Niliogopa hapo aisee....
Hana mchecheto kabisa....naomba jina lake aisee
Naunga mkono hoja. JF na ifanyiwe marekebisho sasa. Na uwanja wa Taifa na ufungwe. Alshabaab inasemekana wameingia hapo.
Anaitwa Ally Mustafa Barthez
Wewe nawe inaonekana sio mtani jembe unaongoza goli tatu unaogopa, je ungekuwa unaongoza kwa goli moja si ungefumba macho kabisa.