Simba wanaendelea kuchafua gazeti....
nakasirika sasa
Simba wanapata goli
Mwombeki
Simba 1-3 Yanga
ahsanteni simba kwa kuanza kunifuta machozi MUngu ibariki simba! mpira ni dakika tisini
unaambiwa goli kama la asamoh gian,pumbv yanga
nakasirika sasa
Baba V....jamniUsijali... tunawapiga tu..
Vp tena Yanga yangu jamani?
La pili hilo tumebakiza moja tuwafie na lingine la ushindi