Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,480
- 4,775
Ngoja tutafute cha 4 mama ili tuendelee kupata raha au wewe unasemaje?Ngasoka....
kabisaaaaaaaaa
tumwombe tu Mungu lol ile ziro ilikuwa aibuYanarudi yote mkuu wala usihofu.
At least zinanyweka sasa.Sasa hivi zinanyweka eenh...hahahah
Yanarudi yote mkuu wala usihofu.
At least zinanyweka sasa.
sahau kabisanimekubali Yanga hawawezi kuvunja rekodi ya goli 5-0 iliyowekwa na Simba. nasema hivyo kwani kikosi walichonacho yanga leo ndicho kingeweza kufanya kazi lakini ndo hivyo wameishashindwa.
yakiwa hivyo je..