Yaliyojiri VPL: Simba SC vs Yanga SC - 20 October 2013

Status
Not open for further replies.
Dakika ya 65

Simba 2-3

Ngassa amekosa goli la wazi kabisa

Twite anarusha.....
 
Tanesco ya CCM bana dah! Wameona tunarudisha magoli wakakata.
 
nimekubali Yanga hawawezi kuvunja rekodi ya goli 5-0 iliyowekwa na Simba. nasema hivyo kwani kikosi walichonacho yanga leo ndicho kingeweza kufanya kazi lakini ndo hivyo wameishashindwa.
 
sahau kabisa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom