Inavyo onyesha (hiyo picha) wote wana njaa. Kwahiyo wenye timu zenu leo musitegemee ushindi, nisare tu.
naona kikosi kimejaa 'made in Msimbazi' hafu mbwembwe nyiiingi.i seen Batez,Yondani,Chuji,Ngasa nk
Mkuu ukevurugwa mpaka unacho andika akisomeki.[/QUOTE
We usielewa kilichoandikwa ndo umevurugwa hado mdomoni mwako Mkuu.
Ban ya siku 3? ulisema kila goli moja litakalo fungwa na simba upewe ban ya siku3. Maanayake goli moja1 =siku 3Leo kweli mtoto hatumwi dukani,
Yanga nipigieni hao watu ili niondokane na ban ya siku tatu niliyoomba.
Kikosi hichi kakosekana mtu mmoja tu (mshika chenji)Yanga.
1.Banthez
2.Twite
3.Luhende
4.Yondan
5.Canavaro
6.Chuji
7.Ngasa
8.Domayo
9.Kavumbagu
10.Kiiza
11.Niyonzima.
Haya mashabiki wa simba na niye ongezeeni hapo timu yenu.
Kikosi hichi kakosekana mtu mmoja tu (mshika chenji)
Pamoja Mkuu, wacha wakapopoane (sitegemei soka la uhakika)Wote kiboko yenu ni mbeya city na azam. Leo simba na yanga wanaingia uwanjani mawzo yao yako kwa hizo timu mbili. Simba na yanga zilikuwa enzi hizo wachezaji walikuwa na uzalendo.
Muulize kaseja.Mshika chenji ndo nani tena?
Muulize kaseja.
Kuna jamaa anaitwa Tegete, huyo jamaa mpira wake ni wakawaida lakini anapo cheza na simba lazima aharibu hari ya hewa pale msimbazi. Mimi namwitaga mshika chenji, kwakua yeye ndio ukabidhiwaga ile ndumba (chenji)Kaseja nitampata wapi sasa?
Yanga.
1.Banthez
2.Twite
3.Luhende
4.Yondan
5.Canavaro
6.Chuji
7.Ngasa
8.Domayo
9.Kavumbagu
10.Kiiza
11.Niyonzima.
Haya mashabiki wa simba na niye ongezeeni hapo timu yenu.