Yaliyojiri VPL: Simba SC vs Yanga SC - 20 October 2013

Yaliyojiri VPL: Simba SC vs Yanga SC - 20 October 2013

Status
Not open for further replies.
kATUNI(1).jpg
Inavyo onyesha (hiyo picha) wote wana njaa. Kwahiyo wenye timu zenu leo musitegemee ushindi, nisare tu.
 
Leo kweli mtoto hatumwi dukani,
Yanga nipigieni hao watu ili niondokane na ban ya siku tatu niliyoomba.
Ban ya siku 3? ulisema kila goli moja litakalo fungwa na simba upewe ban ya siku3. Maanayake goli moja1 =siku 3
goli mbili = siku 6
goli tatu =siku 9, ukigongwa 5 (kama kawaida yenu) ban ya nusu mwezi.
 
Yanga.
1.Banthez
2.Twite
3.Luhende
4.Yondan
5.Canavaro
6.Chuji
7.Ngasa
8.Domayo
9.Kavumbagu
10.Kiiza
11.Niyonzima.

Haya mashabiki wa simba na niye ongezeeni hapo timu yenu.
Kikosi hichi kakosekana mtu mmoja tu (mshika chenji)
 
Wote kiboko yenu ni mbeya city na azam. Leo simba na yanga wanaingia uwanjani mawzo yao yako kwa hizo timu mbili. Simba na yanga zilikuwa enzi hizo wachezaji walikuwa na uzalendo.
Pamoja Mkuu, wacha wakapopoane (sitegemei soka la uhakika)
 
Hakuna soka la uhakika litakalopigwa, na tv yangu ya asili imeshaonyesha yanga anapigwa goli 2.
 
Fidel80 na wadau wengine wa jangwani poleni sana, maana matokeo tayari ninayo.
 
Last edited by a moderator:
Kaseja nitampata wapi sasa?
Kuna jamaa anaitwa Tegete, huyo jamaa mpira wake ni wakawaida lakini anapo cheza na simba lazima aharibu hari ya hewa pale msimbazi. Mimi namwitaga mshika chenji, kwakua yeye ndio ukabidhiwaga ile ndumba (chenji)
 
kgrlnup_310_230.jpg


Yanga.
1.Banthez
2.Twite
3.Luhende
4.Yondan
5.Canavaro
6.Chuji
7.Ngasa
8.Domayo
9.Kavumbagu
10.Kiiza
11.Niyonzima.

Haya mashabiki wa simba na niye ongezeeni hapo timu yenu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom