Ngoja nibane kende!!!Dah Yanga wanatushambulia sana
Dakika ya 75
Simba 2-3 Yanga
Simba wanshambulia Yondan anazuia
Yanga wanaomba mpira uishe
Mnyama unyamani, mnyama unyamani, mnyama unyamani, fanya kazi ipasavyo maana hali si hali.
Ngoja nibane kende!!!
makocha wa ulaya huwa wanavaa suti huku kwe2 ni vipi?
Labda ataenda Facebook
Amis Tambwe ameumia.....Anagangwa
natamani mpira uishe sasa hivi
naona kaijage anatangaa ki yanga yanga! p'se azam tv tutafutieni watangazaji wasio na ushabiki kazini!
kaseja wap