Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aibu yakekwa kweli hapo hamna kitu,watangazaji ni wapinzani wetu pia
Wabongo bana....
Kuna mchezaji anaitwa William Lucian Gallas...
Yanga wanarudi sasa
Dhaira kaumia tena.............
Hahaa Thanx
Ayaaaa mbona wanarudisha
Simba 3-3 YangaJamani vipi simba hawajasawazisha? Jana niliumia man united waliniangusha,Leo tena wekundu wa msimbazi msiniletdown.
ligi leo isiishe,ila hii mechi ya leo natamani kipenga kilieKumbe una presha...na je tukisema ligi iishe leo itakuwaje?