meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,425
- 4,768
Kumbe una presha...na je tukisema ligi iishe leo itakuwaje?
Huku kwetu joto kali bhana!!makocha wa ulaya huwa wanavaa suti huku kwe2 ni vipi?
Dah kumbe watu wanapenda mpira hiv!!?
Kaka mkubwa naona watia tia ubani kidogo hii dhahma iwaepuke sio...
Replay ya goli la owino hadi nadinda kama miroslav close
Yanga mbona mnatuangusha tena
Karibu jukwaa letu pendwa lisilo na BAN