Hahahahahaa hehehehhehee,teh teh teh
Baada ya Simba kupata goli la tatu mtangazaji wa radio one Maulid Kitenge amepata kigugumizi.
mpira uishe jamani,
nipo mbona tangu mwanzo?umerudi ee?
sio kugugumizi atatpoata hata kidudumizi atapata:dance:Baada ya Simba kupata goli la tatu mtangazaji wa radio one Maulid Kitenge amepata kigugumizi.
Hata naweza kukaa kwa amani sasa
mpira uishe jamani,
Hahahahahaa hehehehhehee,teh teh teh
Anayecheka mwisho ndiye anacheka zaidi......
Huoni kama tunaweza kupata la nne na kumlaza Yeboyebo, sasa najua kwa nini King Kibadeni alipata tuzo ya kocha bora.
Baada ya Simba kupata goli la tatu mtangazaji wa radio one Maulid Kitenge amepata kigugumizi.