Yaliyojiri VPL: Simba SC vs Yanga SC - 20 October 2013

Status
Not open for further replies.
Rest in peace Mzirai,tutakukumbuka daima,leo kibadeni anatunyuka tu hapa
 
There are currently 1703 users browsing this thread. (216 members and 1487 guests)

 
what?? huu mpira au debate?

Tatizo la timu zinazotangulia kufunga hukaribisha maadui golini kwa mtindo wa kulinda ushindi badada ya kuwasambaza adui kuendee uwanja mziwa wao wanawakaribisha golini. Nilishuhudia mechi kama hiyo Chelsea ilipotangulia kuifungu Manchester 3-0 kisha kipindi cha pili Manchester wakarudisha moja baada ya jingine hadi kuisha mpira kwa sare ambayo haikutegemea ndicho ninachokiona kutokea leo hapa kama mambo yasipobadilika zaidi kandambili kukatia sababu ya kumfukuza mnyama.

 
Bado Kamoja kakuwalaza mapema hao!!!!!!!!!!!GO ..........SIMBA ..........GO ........GO .....SIMBA!!!!!!!!!
Shati imetundikwa lile !!!!Pale hamna kitu ......Afu paniki ishawaingia ....Funga hao!!!
 
Hapo uzembe mkubwa sana Yanga. Hakuna cha Kibadeni wala chochote. Ni uzembe kuachia match iishe kijinga jinga namna hiyo
 
Mi nipo kwenye luninga Kitenge kasemaje mkuu...?

Kitenge mwenyewe haamini yanayotokea, anakwambia Kocha wa Yanga naye ameingia kwenye mtego wa mashabiki wa kuona walivyoongoza tatu bila wakaona wamemaliza kila kitu walisahau kwamba mpira ni dakika 90.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…