Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
raha sanaaaaaaaaaa,aisee kweli mpira dk 90Umecheka sasa.!!
Naona sasa hivi wamerejea kwa nguvu zote............Mashabiki maandaziWalinywea kama sio wao....
what?? huu mpira au debate?
droo si mchezo kwa mtu aliyekutangulia magoli 3
Mi nipo kwenye luninga Kitenge kasemaje mkuu...?
...mbona walikuwemo!!!!, sema tu ulikua uwaoni kwasababu ya utwo tugoli twenu tutatu.Kuna watu wa Simba nadi ya JF walipotea kabisa dakika 80 za mwanzo......Naona sasa hivi wamefufuka
kwetu ssc & kwa neutrals nadhani mechi safi sana hiiLoo hi mechi imekaa vibaya sana, afadhali mpira uishe.
Nahis kuumwa