hivi yanga bado wanatumia jina lao la yeboyebo?Yereeeeee uwiiiiiiiiiii
tat tatu Simba Tatu Yanga Tatu
Full Time
Simba 3-3 Yanga
What a match
Yeboyebo mnabahati sana,
mnajisifia timu nzuri mnashindwa kulinda goli tatu ndani ya dak 45, Beki
ya Yanga ovyo kweli na kama hawa vijana Ndemla na Lucian wangeanza toka
mwanzo tungekuwa tunaongea mengine hadi sa hivi.
bahati yenu!!!!
Acha wenge mkubwa!Nimeamua kushabikia timu ya chama cha Mapinduzi
...mbona walikuwemo!!!!, sema tu ulikua uwaoni kwasababu ya utwo tugoli twenu tutatu.
Yeboyebo mnabahati sana, mnajisifia timu nzuri mnashindwa kulinda goli tatu ndani ya dak 45, Beki ya Yanga ovyo kweli na kama hawa vijana Ndemla na Lucian wangeanza toka mwanzo tungekuwa tunaongea mengine hadi sa hivi.