Yaliyojiri VPL: Simba SC vs Yanga SC - 20 October 2013

Yaliyojiri VPL: Simba SC vs Yanga SC - 20 October 2013

Status
Not open for further replies.
Yanga hawaamini. Pamoja na kamati yao ya uchawi wameshindwa na vijana wa simba
 
Yeboyebo mnabahati sana, mnajisifia timu nzuri mnashindwa kulinda goli tatu ndani ya dak 45, Beki ya Yanga ovyo kweli na kama hawa vijana Ndemla na Lucian wangeanza toka mwanzo tungekuwa tunaongea mengine hadi sa hivi.
 
...ngoja tusubiri, tuone HEMED KIVUYO atakuja na kauli gani kupitia ITV michezo.
 
Hongereni sana wana Yanga na Simba kwa mchezo mzuri......

Kwa hakika lilikuwa boonge la game......Ngoja nimuachie watu8 na Masuke waendelee na tathmini ya mchezo
 
Last edited by a moderator:
bahati yenu nyie,mnafurahia droo sasa,msomali alisema sita bila anyway its another day
 
Nimeamua kushabikia timu ya chama cha Mapinduzi
 
Last edited by a moderator:
Ngasa inabidi amshukuru Dhaira maana nyumba zake zingekuwa majivu. Hii ndio SIMBA.
 
aisee sijapenda hii mechi ilivyoisha,yaani simba wamepangua goli 3.ama kweli kutangulia si kufika
 
Nashukuru kwa waleta update wote waliokua kiwanjani na majumbani naamia Midlands sasa pale villa park
 
Yeboyebo mnabahati sana,
mnajisifia timu nzuri mnashindwa kulinda goli tatu ndani ya dak 45, Beki
ya Yanga ovyo kweli na kama hawa vijana Ndemla na Lucian wangeanza toka
mwanzo tungekuwa tunaongea mengine hadi sa hivi.

na kinyume chake.
 
Yeboyebo mnabahati sana, mnajisifia timu nzuri mnashindwa kulinda goli tatu ndani ya dak 45, Beki ya Yanga ovyo kweli na kama hawa vijana Ndemla na Lucian wangeanza toka mwanzo tungekuwa tunaongea mengine hadi sa hivi.

I don't get ur point, hivi unajuwa football kweli wewe au ni ushabiki maandazi,

Simba wamefungwa goli 3 kwa dakika 45 same to Yanga sasa nani aliyeshinda mechi hii? Na kazi ya dakika 90 ni nini?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom