waje tu!
Kweli kabisa. madogo wamepigana kiume. Madogo wamepambana kiume na litimu lenye wachezaji wakongwe wenye uzoefu wa kimataifa na yenye kocha wa "kimataifa" mwenye rangi nyeupe.
Balantanda, Mandieta, BabaV, Wabhejasana, naomba mkubali kuwa Yanga mmepoteza hii mechi kwa Simba.
Kibadeni ni bonge la kocha tz
Naona sasa hivi wamerejea kwa nguvu zote............Mashabiki maandazi
baruti kimara huku walikata,Wapi huko walizima?
aungurumapo ucheza nani??
Wachezaji wa yanga wamekimbia,hawataki kabisa kuzungumza na media!du aibu sana.kiufupi simba ndo wameshinda hii mechi.
kuna mtu anajiita mandieta simuoni kabisa..
baruti kimara huku walikata,
Ameshinda ngapi?
kwangu naona alifanya fair sana,tupeana sijui pole au pongezi lol!alieweka mpira dakika 90 namlaum sana
nipo mbona tangu mwanzo?
kwangu naona alifanya fair sana,tupeana sijui pole au pongezi lol!
Nakukubalia mkuu. Ingawa kwa uchungu sana kwani mimi niko ile kipande ingine!