Yaliyojiri VPL: Simba SC vs Yanga SC - 20 October 2013

Status
Not open for further replies.
Inaonekana una matatizo binafsi na Simba na si kwa sababu ya matokeo ya draw, hao walioishusha Simba toka jana wamecheza mechi moja zaidi na wameizidi Simba pointi moja, wala hatufurahii kwa kupata droo lakini tunafurahia namna droo ilivyopatikana, wewe unataka tunune kwa sababu ya droo na tungefungwa si ungetaka tufe kabisa.

Club bingwa Afrika fainaly ni Al Ahaly vs Orlando Pirates. Nyinyi endeleeni na ushabiki wenu maandazi wa kombe la mbuzi.
 
Simba bwana wa ajabu sana yaani 'TUMEWACHOMEKA' tena mara TATU alafu wao wanashangilia 'KUCHOMOA'
 
Nimefurahi Simba kurudisha hizo bao tatu, lakini pale hakukuwa na mpira bali mazingaombwe ya kiarabu.
 
Club bingwa Afrika fainaly ni Al Ahaly vs Orlando Pirates. Nyinyi endeleeni na ushabiki wenu maandazi wa kombe la mbuzi.

Ha ha ha Matola.. comments zako zote humu zinakuonyesha u shabiki wa gongowazi.. na umechanganywa sana na magoli matatu kurudi.. Frustrations zako sasa waponda soka la bongo.. Hilo liko wazi soka letu dogo na lina mafitina kibao lkn ndo soka letu.. Jipangeni..
 
Last edited by a moderator:
Ila ile mvua ya magoli dakika mbaya sijui simba ilitokea wapi. Mnyama kanyatia afu fyuuuuu.

Poleni wanayanga. Mlishaambiwa badilisheni rangi ya team mkagoma
 
Aisee inabidi kubadili rangi ya team
 
Katika siku ambazo nilikuwa na tension ya mpira ni jana. Maana nilianza kupata sms za kubezwa kuanzia saa 12 ahsubuh, yaami ilikuwa taabu sana.

Muda wa mechi sikuwa na raha yalemaneno niliyobezwa yalikuwa yanaring in my brain na mapicha ya kumdhalilisha mnyama yaani hata mlo wa mchana sikula.

Niliamua kutouangalia neikaenda zangu vikobaaa....niko njiani nasikia goooo...ikabidi nisogee tumefuungwa, niko kwenye kikao nasika tena gooo tumefungwa, nikachungulia JF na kisimu changu laaaa nikakuta wakina Heaven on earth, na webzake ndo wanashindilia mwiba moyoni nika log out fastaa. Nimeamini nina mapenzi makubwa na SIMBA

Naanza safari ya kurudi home shosti ananipigia simu eti cha tatu hicho kaoge....yaani nusu nimtukane. Mwingine tena haloow leo lazima uumwe..nikamwambia mmpira ni 90min, akasema mmeshapigwa v3 unaongea dkk 90.

Njiani tena nikakutana na mwenye kiredio chake ile napishana nae tuu nasikia gooo, yaani nilihisi mapigo ya moyo yana potea..nasikilizia la nne au? Aaa kumbe MNYAMA ameanza kuchomoa, baada ya muda tena nasikia gooo chapili. Nakaribia home nasikia tena gooo afu watoto wananilaki mama mama simba wamesawazisha matatu mama timu yako. Kajasho kembaba kalinitoka kafuraha lakini na kushushia punzi maana.

Nimetumia almost masaa mawili kufuatilia thread, kwa nionavyo yaani kweli kipindi cha kwanza SIMBA tulikuwa na simanzi sana. Nina furaha ya ajabu si kwa sbb ya droo but kwa simba kucheza mchezo wa maana na kuweza kurudisha mabao ma 3 kwa staili ya aina yake.

Kwa upande mwingine nijambo lisilofichika kuwa pamoja na droo YANGA wameaibika.....POLENI

Salamu kwa wazalendo wa ukweli wa SSC Ndeticha, @Exellent Katavi, Asprin, Masuke, Filipo, KakaKiiza, Mzee wa Rula, stevoh na all SIMBA SPORTS CLUB Fans...pamoja sana.

Yanga SIMBA mtaipenda tu.... Balantanda nimekukubali sana..thumb up for you mkuu

Hivi sasa ni saa 01:54 tukutane baadayeee....kwa heri kwa sasa.
 
Waiter upo wapi leta kinana nyingine, saa ngapi jamani lakini sina hofu boss naye ni simba damu kama mimi
 
We mama wewe. We njoo tu nikuoe. baaas. Haka ka Heaven on earth kamenipa tabu sana jana. Yani shenzy zake chapchap sana. Hii hangover sijui kama ntaenda kwa mkoloni.
 
Last edited by a moderator:
Pole sana na hongera kukaba vizuri. kuna hatari tungewapiga cha nne.

Hapo kwenu ndo ushindi.... nilicheka sana uliposema bora msirudishe timu uwanjani kipindi cha pili...
 
Hahahah kweli kabisa. Yani isiwe tabu. Nilihisi jana mngetupa kama sita hivi. Nlishamtukania Kibadeni mama yake wallah. Anisamehe tu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom